Home > Terms > Swahili (SW) > mrija wa champagne

mrija wa champagne

Ni kioo cha shina na bakuli mwembamba mrefu. Bakuli ya filimbi inaweza kufanana na glasi ya mvinyo nyembamba kama inavyoonekana katika mchoro; au umbo la tarumbeta; au kuwa nyembamba sana na nyofu upande mmoja. Shina inaruhusu mnywaji kushikilia glasi bila kuathiri joto la kinywaji. Bakuli inauyoundwa kuhifadhi sahihi ya kaboni ya champagne, kwa kupunguza eneo la uso wakati wa ufunguzi wa bakuli.

0
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

Jonah Ondieki
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 1

    Followers

Industry/Domain: Government Category: American government

kuongoza kutoka nyuma

Msemo ambao unasemekana kutumika na Ikulu ya Rais Obama kuelezea vitendo vya Marekani huko Lybia kama "kuongoza kutoka nyuma." msemo huu ...

Featured blossaries

Social Network

Category: Entertainment   1 12 Terms

Russian Actors

Category: Arts   1 20 Terms