Home > Terms > Swahili (SW) > makamu wa rais

makamu wa rais

Jukumu kubwa la makamu wa rais ni kuchukua urithi wa urais iwapo rais atajiuzulu,atatolewa au hata kufariki.

Jukumu lingine la kikatiba kwa makamu wa rais ni kuongoza bunge la senate la Marekani na kutumia kura yake kuamua pale ambapo pande zote mbili zinalingana. Hali hii hukiukwa tu pale ambapo bunge la senate linatekeleza jaribio la kumwondoa rais mamlakani.

Katika miaka ya hivi karibuni,makamu wa rais wamechukua majukumu makubwa zaidi ya kusimamia sera za kitaifa na kimataifa ambazo ni za hadhi ya juu.

0
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

ogongo3
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 3

    Followers

Industry/Domain: People Category: Musicians

Bob Dylan (almasi, Watu, wanamuziki)

mwimbaji-mtunzi wa nyimbo na mashairi, pia inajulikana tangu miaka ya 1960 alipoanza kuonekana kama sanamu za machafuko ya kijamii na mabadiliko kwa ...

Contributor

Featured blossaries

Hot Doug's Standard Menu

Category: Food   1 5 Terms

ikea

Category: Culture   2 1 Terms